Lyrics
Toggle title
Sina kiu tena, nasema kwa hakika
Kweli swali limejibiwa, lakini huyu ni nani?
Tunayeambiwa ni mfalme, tumuabudu yeye pekee
Kazaliwa kama sisi, ile tuelewe Mwenyezi Mungu
Tumuabudu, yeye pekee
Tumuamini yeye ni Mungu
Tumuheshimu, anajua yote
Hakuna mwingine kama Yesu
Yohana alimbatiza, Mungu akasema
Ye ndio mwana wake mwenye amependa zaidi
Manabii walinena, mfalme atakuja duniani
Kutupa Amani tuliyokosa vile tulitengana na baba
Tumuabudu, yeye pekee
Tumuamini yeye ni Mungu
Tumuheshimu, anajua yote
Hakuna mwingine kama Yesu
Sijali anavyokaa, sijali sijali ametoka wapi
Maneno ya ajabu, hakuna mwingine na busara hivi
Amani kutoka kwako, hakuna kwingine naeza pata
Asante Baba yetu kwa kutuma mwana wako wa pekee
Tumuabudu, yeye pekee
Tumuamini yeye ni Mungu
Tumuheshimu, anajua yote
Hakuna mwingine kama Yesu
Story
Celebrate faith and devotion with a heartfelt worship song that calls believers to honor and glorify God. With its inspiring lyrics in Kiswahili and a melody that uplifts the soul, this track is a beautiful blend of spirituality and artistry.
Tumuabudu invites listeners to reflect on God’s love, the peace He provides, and the sacrifice of Jesus Christ. Lines like Hakuna mwingine kama Yesu (There is no one like Jesus) echo the powerful message of worship and gratitude. Perfect for worship sessions, personal meditation, or uplifting your spirit during challenging times, this song is a must-listen for those seeking to deepen their connection with God.
Stream now on streaming platforms and let its powerful message fill your heart with peace and devotion.